Mfumo mpana wa kidijitali wa kusimamia na kufuatilia mauzo ya biashara yako. Pata uzoefu bora zaidi wa kudhibiti biashara yako kupitia App yetu ya simu.
Watch Video Demo
NexiiPos: Mfumo Kamili wa Kusimamia Mauzo na Stoki kupitia Simu na Kompyuta. Jaribu Sasa (Demo).
Gharama za NexiiPos
Chagua kifurushi kinachostahili ukubwa wa biashara yako. NexiiPos inatoa gharama nafuu na rahisi, zilizoundwa kusaidia ukuaji wa biashara ndogo, za kati, na kubwa.