Pakua App
Bure kwa wateja wote wa NexiiPOS
Endesha duka lako kutoka kifaa chochote
Uza, chapisha risiti, tuma ankara WhatsApp na uone ripoti — kwenye simu au kompyuta. Ingia kwa akaunti yako ya NexiiPOS.
Android
v1.0.0 (106)- Pakua APK kwenye simu yako.
- Ifungue kisha ruhusu "Install unknown apps" ukiulizwa.
- Bonyeza Install. Toleo jipya likitoka utaarifiwa ndani ya app.
Kipya ni nini
- ppp
Windows
v1.0.0 (106)- Pakua installer (.exe).
- Ifungue. SmartScreen ikitokea, chagua "More info" kisha "Run anyway".
- Fungua NexiiPOS kutoka Start menu.
Kipya ni nini
- ppp
Linux
v1.0.0 (106)- Pakua kifurushi cha .tar.gz (64-bit).
- Kifungue: tar -xzf NexiiPOS-*.tar.gz
- Endesha ./install.sh ndani ya folda uliyofungua. NexiiPOS itaonekana kwenye menyu ya apps.
Kipya ni nini
- ppp
SHA-256 (APK): 986520099315bba3acdb5df8669f1a973b9d0d4703358cd19b8d08ebfa12149a